🔗 ⚙️

Timam by Kutiman " / " Mejja

Tracklist
1.Kutiman " / " Mejja - Timam2:02
Lyrics

OKWONKWO , YEAH

KENYA NI NCHI TIMAM,
KILA SIKU HAPA NI KARAM,
UKIWA NA BIDII UTAENDA FAR,
BAZENG UTASHANGAA.

KENYA NI NCHI TIMAM,
KILA SIKU HAPA NI KARAM,
UKIWA NA BIDII UTAENDA FAR,
BAZENG UTASHANGAA.

...BAZENG UTASHANGAA
...BAZENG UTASHANGAA
VERSE
KENYA NI NCHI SUPU,
KUWA MKENYA NI KUJIAMINI TU,
KENYA IKO NA DIVERSE CULTURES,
SHENG NDIO LUGHA TUNABANJA,
WAKENYA NI WATU ROHO SAFI
MAPENG WETU MALI SAFI
TUNAPENDA KULA JASHO YETU
KUHUSTLE IKO KWA DAMU YETU
UKIHUSTLE KENYA UTAOMOKA
KWA TASK MATE UTAKAOKOTA
MASAA NI GANJI,CHEKI MBOTA
KENYA NI BIDII UTATOBOA

...NI BIDII UTATOBOA
...NI BIDII UTATOBOA

KENYA NI NCHI TIMAM,
KILA SIKU HAPA NI KARAM,
UKIWA NA BIDII UTAENDA FAR,
BAZENG UTASHANGAA.

KENYA NI NCHI TIMAM ...TIMAM
KENYA NI NCHI TIMAM ...TIMAM

KENYA NI NCHI TIMAM,
KILA SIKU HAPA NI KARAM,
UKIWA NA BIDII UTAENDA

Credits
released January 27, 2022
Mixed by Ronen Sabo @ Nenorion
Mastered by Chris Athens
Artwork by Tuong Nguyen
LicenseAll rights reserved.
Tags
Recommendations