โ›บ
๐Ÿ”— โš™๏ธ

Kokoriko from Life Tofauti by Octave Band

Tracklist
1.Kokoriko4:00
Lyrics

Niaje mzeiya, najua umelala usiku kucha mzeiya
Mzee ni kurauka, wazee kwa vijana ni wakati wa kurauka
Kazi kwa vijana, kokoriko amewika asubuhi kijana
Usingoje umwagiwe maji, kokoriko amewika asubuhi kijana
Kokoriko amewika asubuhi kijana
Niaje mzeiya, najua umelala usiku kucha mzeiya
Mzee ni kurauka, wazee kwa vijana ni wakati wa kuamka
Kazi kwa vijana, kokoriko amewika asubuhi kijana
Usingoje umwagiwe maji, kokoriko amewika asubuhi kijana
Kokoriko amewika asubuhi kijana

Kokoriko asubuhi, kokoriko asubuhi
Jogoo amewika aah, jogoo amewika aah
Aah, aah, aah
Aah, aah, aah
Aah, aah, aah
Aah, aah, aah

Kama ni lazima ulale, na jicho moja siulale basi
Huku ukiwa radar, urauke upande ladder
Watu wamesota lakini bado wana-afford kulala
Wengine wamesoma lakini bado kwa wengine ni mafala
Hey you sister wake up
Nawe kijana amka
Kazi ni kazi hey, mchagua jembe sio mfarmer
Nakueleza wazi, siri ya kuendelea ni kuanza hey
Kazi ni kazi hey, mchagua jembe sio mfarmer
Nakueleza wazi, siri ya kuendelea ni kuanza
Kokoriko asubuhi

Kokoriko asubuhi, kokoriko asubuhi
Jogoo amewika aah, jogoo amewika aah
Aah, aah, aah
Aah, aah, aah
Aah, aah, aah
Aah, aah, aah

Credits
from Life Tofauti, released September 13, 2017
Bass, guitar & percussion: Reuben Besa
Song writer: Kennedy Mukasa.
Vocals: Hiram Mbogo
Producer: Charles Otieno
LicenseAll rights reserved.
Tags
Recommendations